DKT NDUMBARO ASHIRIKI KIKAO CHA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA, KATIBA NA SHERIA

Mheshimiwa Dkt.Damas Ndumbaro,Waziri wa Katiba na Sheria ameshiriki Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala,Katiba na Sheria wakati Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe.Jaji Dkt.Eliezer Mbuki Feleshi akiwasilisha Majibu ya Hoja Mbali Mbali zilizoibuliwa wakati wakiwasilisha Muswada wa Sheria wa Marekebisho ya Sheria Mbali Mbali Jijini Dodoma.Kikao hicho kimehudhuriwa na Waziri wa Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya Habari,Mhe.Nape Nnauye. 


Comments

Popular posts from this blog

KAMATI YAIPONGEZA WIZARA KWA UTEKELEZAJI WA MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN

TUFANYE KAZI KWA UADILIFU NA USHIRIKIANO - MHE CHANA