NDUMBARO AFANYA ZIARA MALINYI


Waziri wa Katiba na Sheria Dkt damasi Ndumbaro   akiwa na wafanakazi wa Malinyi Paralegal unity  alipotembelea ofisini  Malinyi wilaya ya Malinyi  Mkoa wa Morogoro.
 
 Lusajo Mwakabuku: WKS

Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro amefanya ziara ya kikazi katika Wilaya ya Malinyi iliyopo Mkoa wa Morogoro kwa lengo la Kutembelea Wasaidizi wa Kisheria ambapo tarehe 12/08/2023 alitembelea ofisi ya Wasaidizi wa Kisheria Malinyi (Malinyi Para Legal Unity) na kukutana na uongozi Kituo hicho ambacho kimekua na msaada mkubwa katika Wilaya hiyo yenye migogoro ya wakulima na wafugaji. 

Katika ziara hiyo, Mhe. Ndumbaro akimbatana na Mkuu wa Wilaya ya Malinyi bwana Sebastian Waryuba na uongozi wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Malinyi Mkoani Morogoro wamejadili namna ya kushighulikia masuala mbali mbali ya upatikaji haki Wilayani hapo.

 

Comments

Popular posts from this blog

USAJILI WA VIZAZI NA VIFO NI TAKWA LA KISHERIA

UONGOZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU NA WATU YAKUTANA NA VIONGOZI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

BODI YA KITAIFA YA USHAURI YA MSAADA WA KISHERIA YATEMBELEA WASAIDIZI WA KISHERIA IRINGA