TEHAMA ITAIMARISHA UTAOJI WA MSAADA WA KISHERIA - MAKONDO


 Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bi Mary Makondo akiongea na Watalamu wa TEHAMA katika ukumbi wa Morena leo tarehe 22 Agosti 2023

XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX

Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Mary Makondo amezindua mafunzo ya Mifumo ya TEHAMA yaliyoandaliwa na Shirika la Mtandao wa watoa huduma za Msaada wa Kisheria la (TANLAP) iliyofanyika leo Agosti 22, 2023 Jijini Dodoma.

Akiongea katika hafla hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Morena, Katibu Mkuu amesisitiza matumizi ya TEHAMA katika kuwafikia wanyonge na kuwapa huduma za msaada wa Kisheria kote nchini huku akiwaasa washiriki wa mafunzo haya kushiriki kikamilifu Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia yaani Mama Samia Legal Aid Campaign.


Comments

Popular posts from this blog

USAJILI WA VIZAZI NA VIFO NI TAKWA LA KISHERIA

UONGOZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU NA WATU YAKUTANA NA VIONGOZI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

BODI YA KITAIFA YA USHAURI YA MSAADA WA KISHERIA YATEMBELEA WASAIDIZI WA KISHERIA IRINGA