DKT PINDI CHANA AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA BENKI YA DUNIA

Mhe. Balozi Dkt. Pindi Hazara Chana, Waziri wa Katiba na Sheria na baadhi ya Viongozi wa Wizara kwenye picha ya pamoja na ujumbe wa Benki ya Dunia baada ya kufanya nao mazungumzo juu ya ushirikiano katika kuendeleza sekta ya sheria nchini, tarehe 20/09/2023 kwenye ofisi za RITA Jijini Dar es Salaam.


Mhe. Balozi Dkt. Pindi Hazara Chana, Waziri wa Katiba na Sheria alipokutana na ujumbe wa Benki ya Dunia tarehe 20/09/2023 Jijini Dar es Salaam kwenye ofisi za RITA na kuzungumza juu ya ushirikiano katika kuendeleza sekta ya sheria nchini.

Comments

Popular posts from this blog

USAJILI WA VIZAZI NA VIFO NI TAKWA LA KISHERIA

UONGOZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU NA WATU YAKUTANA NA VIONGOZI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

BODI YA KITAIFA YA USHAURI YA MSAADA WA KISHERIA YATEMBELEA WASAIDIZI WA KISHERIA IRINGA