CHANA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MASHUJAA WA VITA YA KWANZA YA DUNIA

 






Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt Pindi  Chana , Balozi Wa Uingerza nchini  David Concar  na Balozi wa Ujerumani  Nchini  Wakitoa  heshima  zao kwenye moja ya kaburi la mashujaa waliotoa uhai wao kwenye vita ya kwanza  ya  Dunia.


Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt Pindi  Chana , Balozi Wa Uingerza nchini  David Concar  na Balozi wa Ujerumani  Nchini  Wakitoa  heshima  zao kwenye moja ya kaburi la mashujaa waliotoa uhai wao kwenye vita ya kwanza  ya  Dunia

XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX

Na Lusajo Mwakabuku - WKS DSM

Waziri wa Katiba n Sheria Mhe.Balozi Dkt Pindi Chana Leo 12/11/2023 ameshiriki Ibada ya maadhimisho ya siku ya Mashujaa waliopoteza maisha wakati wa vita ya kwanza ya Dunia iliyofanyika kwenye makaburi ya Jumuiya ya Madola Kijitonyama Jijini Dar es salaam.

Akizungumza katika maadhimisho hayo yaliyoandaliwa kwa ushirikiano baina ya Ubalozi wa Uingereza na Ubalozi wa Ujerumani Waziri Chana amesisitiza kuwa Tanzania itaendelea  kuhamasisha Jamii na Nchi mbalimbali kuitunza na kudumisha Amani.

Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa Duniani hufanyika kila jumapili ya kwanza baada ya November 12 kila mwaka kwa lengo la kuwakumbuka na kuwaombea na kuwakumbuka mashujaa waliopoteza maisha kwenye vita ya kwanza ya Dunia.




Comments

Popular posts from this blog

KAMATI YAIPONGEZA WIZARA KWA UTEKELEZAJI WA MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN

TUFANYE KAZI KWA UADILIFU NA USHIRIKIANO - MHE CHANA