MHE CHANA AFANYA KIKAO NA MENEJIMENTI YA WIZARA

 












Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Pindi Chana akiongea na menejimenti kwenye kikao kilichofanyika Mtumba, leo tarehe 16 Novemba 2023 jijini Dodoma. 



Menejimenti ya Wizara ya Katiba na Sheria wakiwa kwenye kikao cha utekelezaji wa majukumu ya Wizara leo tarehe 16 Novemba 2023. Mtumba jijini Dodoma. 

XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX

Na, George Mwakyembe - WKS – Dodoma

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amekutana na kufanya kikao na Menejimenti ya Wizara pamoja na watalaam wa sheria kujadili mambo mbalimbali yakiwemo utekelezaji wa  mapendekezo ya haki jinai kwa  Wizara ya katiba na Sheria  pamoja na wasilisho la kutungwa kwa sheria ya kupinga ukatili  wa kijinsia yam waka  2023.  


Kikao hicho ambacho kimefanyika leo tarehe 16 Novemba, 2023 katika ofisi za Wizara Mtumba jijini Dodoma, Mhe. Chana amesisitiza watumishi kuhakikisha utekelezajiwa majukumu yaliyoamuliwa yanafanyika kwa ubunifu huku wakizingatia muda.

 


Comments

Popular posts from this blog

USAJILI WA VIZAZI NA VIFO NI TAKWA LA KISHERIA

UONGOZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU NA WATU YAKUTANA NA VIONGOZI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

BODI YA KITAIFA YA USHAURI YA MSAADA WA KISHERIA YATEMBELEA WASAIDIZI WA KISHERIA IRINGA