MHE CHANA ASHIRIKI MKUTANO WA TANZANIA - RUSSIA ALUMNI

 


Waziri wa Katiba na Sheria  Mhe. Balozi Dkt Pindi Chana akiongea  kwenye mkutano wa Tanzania - Russia  Alumni ulifanyika  leo tarehe 08 Novemba 2023 jijini Dar es salaam. 

Waziri wa katika na Sheria  Mhe. Balozi Dkt Pindi Chana  akiongea na Afisa kutoka ubalozi wa Urusi nchini kweny mkutano  wa Tanzania - Russia Alumni ulifanyika leo tarehe 08 novemba  2023 jijini  Dar es salaam.

Baadhi wa  watanzania waliosoma nchini Urusi wakiwa kwenye kikao cha Tanzania -Russia Alumni kilichofanyika  Dar es  salaam leo  tarehe 08 Novemba 2023.

                          XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe, Balozi Dkt.  Pindi Chana ameshiriki Mkutano wa Wanafunzi waliohitimu Vyuo vikuu vya Nchini Urusi uliofanyika Leo November 08, 2023 jijini Dar es salaam.

Akizungumza katika mkutano huo, Mhe. Chana ameipongeza Urusi kwa kuendeleza ushirikiano mzuri na Vyuo vya Tanzania katika Kuboresha Elimu na kuwakaribisha zaidi kuwekeza Tanzania kwani ni sehemu salama.

Aidha,kwa upande wake  Balozi wa Urusi Nchini Andrey Avetsyan amewataka watanzania kujitokeza kwa wingi kwenda kusoma Nchini Urusi ili kudumisha ushirikiano kati Tanzania na Urusi kwa kubadilishana ujuzi katika tasnia mbalimbali.


Comments

Popular posts from this blog

KAMATI YAIPONGEZA WIZARA KWA UTEKELEZAJI WA MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN

TUFANYE KAZI KWA UADILIFU NA USHIRIKIANO - MHE CHANA