MHE. CHANA ATEMBELEA KITUO JUMUISHI CHA MASUALA YA FAMILIA.

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana kwenye picha ya pamoja na badhi ya watumishi wa Kituo Jumuishi cha Masuala ya Familia Temeke, tarehe 15 Novemba 2023.

 

Naibu Msajili Mfawidhi Kituo Jumuishi Masuala ya Familia Temeke, Mhe. Frank Moshi akimpa maelezo Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Pindi Chana alipotembelea Kituo Jumuishi cha Masuala ya Familia Temeke, 15 Novemba, 2023 Jijini Dar es Salaam.

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana, tarehe 15 November 2023 ametembelea Kituo Jumuishi cha Masuala ya Familia Temeke kukagua shughuli mbalimbali za kiutendaji.

Akiwa Kituoni hapo Waziri Chana amepata fursa ya kutembelea maeneo mbalimbali ikiwemo Chumba maalumu ambacho kimetengwa kwa ajili ya akina mama kunyonyesha watoto wachanga wanapofika katika Kituo hicho kupata huduma.

Comments

Popular posts from this blog

USAJILI WA VIZAZI NA VIFO NI TAKWA LA KISHERIA

UONGOZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU NA WATU YAKUTANA NA VIONGOZI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

BODI YA KITAIFA YA USHAURI YA MSAADA WA KISHERIA YATEMBELEA WASAIDIZI WA KISHERIA IRINGA