UJENZI WA JENGO LA WIZARA WAFIKIA ASILIMIA 80
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Dkt. Khatibu Kazungu akiongea kwenye kikao na Mkandarasi wa jengo la Wizara kabla ya kutembelea na kukagua jengo hilo, tarehe 29 Desemba, 2023 Mji wa Serikali Mtumba. 0 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Dkt. Khatibu Kazungu akitembelea na kukagua ujenzi wa jengo la Wizara, tarehe 29 Desemba, 2023 Mji wa Serikali Mtumba. Mkandarasi Nasiri Nassoro akifafanua jambo wakati akitoa maelezo ya maendeleo ya ujenzi kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Dkt. Khatibu Kazungu alipotembelea na kukagua ujenzi huo, tarehe 29 Desemba, 2023 Mji wa Serikali Mtumba 01 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Dkt. Khatibu Kazungu akishauri jambo alipotembelea na kukagua ujenzi wa jengo la Wizara, tarehe 29 Desemba, 2023 Mji wa Serikali Mtumba. XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX Na William Mabusi - WKS Dodoma Ujenzi wa jengo la Wizara ya Katiba na Sheria linalojengwa Mji wa Serikali Mtumba limefikia ...