DKT. CHANA APOKEA CHETI CHA HESHIMA KUTOKA TAASISI YA KUPINGA RUSHWA




Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt Pindi Chana atunukiwa tuzo kutoka kwenye Taasisi ya Anti Corruptions Voices Foundations kwenye kilele cha Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu tarehe 10 Desemba, 2023 Jijini Dodoma.

XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amepokea cheti cha heshima kutoka Taasisi ya Kupinga Rushwa (Anti Corruptions Voices Foundations) alichotunukiwa kutokana na kuwa Mgeni Rasmi katika mbio za “Sepesha Rushwa Marathon.” Balozi Chana amekabidhiwa cheti hicho tarehe 10 Desemba, 2023 wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya Maadili na  Haki za Binadamu.

Comments

Popular posts from this blog

USAJILI WA VIZAZI NA VIFO NI TAKWA LA KISHERIA

UONGOZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU NA WATU YAKUTANA NA VIONGOZI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

BODI YA KITAIFA YA USHAURI YA MSAADA WA KISHERIA YATEMBELEA WASAIDIZI WA KISHERIA IRINGA