WAZIRI CHANA ASHIRIKI MKUTANO WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe,Balozi Dkt Pindi Chana akisalimia na baadhi ya washiriki kabla ya Kuanza kwa mkutano maalumu wa wa Baraza la Vyama vya Siasa Unaoshirikisha Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa Kujadili Miswada ya Sheria za Uchaguzi na Sheria za Vyama  vya Siasa.

XXXXXXXXXXXXXXXXXXX

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana leo tarehe 03 Januari 2024 ameshiriki Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa unaoshirikisha Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi kujadili Miswada ya Sheria za Uchaguzi na Sheria za Vyama vya Siasa iliyosomwa kwa mara ya kwanza Bungeni tarehe 10 Novemba, 2023.

Akifungua mkutano huo Mgeni Rasmi Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman amewasihi Wadau na Washiriki wote kuitumia fursa hiyo vizuri kwa kutoa maoni yenye tija kwa ajili ya kujenga Taifa na kusema msingi mzuri wa kukubaliana ni mtu kuwa jasiri wa kusema wazo lake na kusikiliza mawazo ya wengine na kukubali wazo lililo bora zaidi kwa manufaa ya Taifa.

Comments

Popular posts from this blog

KAMATI YAIPONGEZA WIZARA KWA UTEKELEZAJI WA MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN

TUFANYE KAZI KWA UADILIFU NA USHIRIKIANO - MHE CHANA