BUNGE LARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MAPENDEKEZO INAYOTOA KWA SERIKALI
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Joseph Mhagama akisoma Taarifa ya Mwaka ya Shughuli za Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria katika kipindi cha kuazia Februari, 2023 hadi Januari, 2024. Tarehe 13 Februari, 2024 Bungeni Dodoma. Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda akijibu mapendekezo ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria kwa niaba ya Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana, tarehe 13 Februari, 2024 Bungeni Dodoma. Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu Bw. Michael Masanja akimkaribisha Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda kuongea na Wataalamu wa Wizara kujadili majibu ya mapendekezo ya Bunge, tarehe 13 Februari, 2024 Bungeni Dodoma. Baadhi ya Wakurugenzi wa Wizara ya Katiba na Sheria walioshiriki katika kikao cha kuandaa majibu ya mapendekezo ya Bunge, tarehe 13 Februari, 2024 Bungeni Dodoma. xxxxxxxxxxxxxxxxxx...