KAMATI YAIPONGEZA SERIKALI UJENZI WA JENGO LA WAKILI MKUU WA SERIKALI
Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Mary Makondo akitoa maelezo ya awali ya maendeleo ya ujenzi wa jengo la Ofisi za Wakili Mkuu wa Serikali kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria tarehe 27 Machi, 2024 Mji wa Serikali Mtumba Dodoma. Kaimu Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Bw. Mark Mulwambo akitoa maelezo kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria tarehe 27 Machi, 2024 Mji wa Serikali Mtumba Dodoma. Mkandarasi wa mradi Eng. Baraka Mosha akitoa maelezo ya ujenzi wa jengo la Ofisi za Wakili Mkuu wa Serikali kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria tarehe 27 Machi, 2024 Mji wa Serikali Mtumba Dodoma. Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Mary Makondo, viongozi kutoka Wizarani na Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kwenye picha ya pamoja na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria mbele ya jengo la Wakili Mkuu wa Serikali linalojengwa Mji wa Serikali Mtumba Dodoma, tarehe 27 Machi, 2024. xxxxxx...