KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA MADOLA AWASILI NCHINI


 Waziri wa Katiba na Sheria wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Mhe.  Haroun Ali Suleiman wakimkaribisha Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola MH. SG Patricia Scotland wakati alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume - Zanzibar. 03 Machi, 2024

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola MH. SG Patricia Scotland (kushoto) akipokea zawadi ya shada la maua wakati alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume - Zanzibar. 03 Machi, 2024

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola MH. SG Patricia Scotland (katikati) akiwa na viongozi waliompokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume - Zanzibar. 03 Machi, 2024. Kushoto kwake ni Waziri wa Katiba na Sheria wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana na mwisho kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Mhe.  Haroun Ali Suleiman.

Comments

Popular posts from this blog

USAJILI WA VIZAZI NA VIFO NI TAKWA LA KISHERIA

UONGOZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU NA WATU YAKUTANA NA VIONGOZI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

BODI YA KITAIFA YA USHAURI YA MSAADA WA KISHERIA YATEMBELEA WASAIDIZI WA KISHERIA IRINGA