MAWAZIRI WA SHERIA TANZANIA BARA NA ZANZIBAR WAKUTANA NA WAZIRI WA SHERIA NA MWANASHERIA MKUU WA CANADA




Waziri wa Katiba na Sheria wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.  Haroun Ali Suleiman wamekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Sheria na Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Canada Mhe. Arif Virani, tarehe 07 Machi, 2024 Zanzibar.


 
Waziri wa Sheria na Mwanasheria Mkuu wa Canada Mhe. Arif Virani (kushoto) akiongea alipokutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Katiba na Sheria wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman, tarehe 07 Machi, 2024 Zanzibar.


Comments

Popular posts from this blog

USAJILI WA VIZAZI NA VIFO NI TAKWA LA KISHERIA

UONGOZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU NA WATU YAKUTANA NA VIONGOZI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

BODI YA KITAIFA YA USHAURI YA MSAADA WA KISHERIA YATEMBELEA WASAIDIZI WA KISHERIA IRINGA