SIKU YA NNE YA MKUTANO WA MAWAZIRI WA SHERIA WA JUMUIYA YA MADOLA


 

Waziri wa Katiba na Sheria wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiongoza Mkutano wa Mawaziri wa Sheria wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola Siku ya Nne ya Mkutano, tarehe 07 Machi, 2024 Zanzibar.


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.  Haroun Ali Suleiman amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Sheria  wa Uingereza Mhe. Mike Freer, tarehe 07 Machi, 2024 Zanzibar.




Comments

Popular posts from this blog

USAJILI WA VIZAZI NA VIFO NI TAKWA LA KISHERIA

UONGOZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU NA WATU YAKUTANA NA VIONGOZI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

BODI YA KITAIFA YA USHAURI YA MSAADA WA KISHERIA YATEMBELEA WASAIDIZI WA KISHERIA IRINGA