SIKU YA TATU YA MKUTANO WA MAWAZIRI WA SHERIA WA NCHI ZA JUMUIYA YA MADOLA


 Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiongoza Mkutano wa Mawaziri wa Sheria wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola Siku ya Tatu ya Mkutano, tarehe 06 Machi, 2024 Zanzibar.

Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Mary Makondo akichangia hoja kwenye Mkutano wa Mawaziri wa Sheria  wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola Siku ya Tatu ya Mkutano, tarehe 06 Machi, 2024 Zanzibar.

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola MH. Patricia Scotland KC akiteta jambo na Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana Waziri wa Katiba na Sheria kwenye Mkutano wa Mawaziri wa Sheria  wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola Siku ya Tatu ya Mkutano, tarehe 06 Machi, 2024 Zanzibar.

Comments

Popular posts from this blog

USAJILI WA VIZAZI NA VIFO NI TAKWA LA KISHERIA

UONGOZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU NA WATU YAKUTANA NA VIONGOZI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

BODI YA KITAIFA YA USHAURI YA MSAADA WA KISHERIA YATEMBELEA WASAIDIZI WA KISHERIA IRINGA