VIONGOZI WANDAMIZI WA TAASISI ZA NCHI WANACHAMA WA JUMUIYA YA MADOLA WAKUTANA ZANZIBAR

 



Viongozi Wandamizi wa Taasisi za Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola wakijadili Mpango na Maandalizi ya Mkutano wa Mawaziri wa Sheria wa Nchi wanachama unaoandaliwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mkutano huo utazinduliwa baadaye leo tarehe 4 Machi, 2024 Zanzibar.

Comments

Popular posts from this blog

KAMATI YAIPONGEZA WIZARA KWA UTEKELEZAJI WA MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN

TUFANYE KAZI KWA UADILIFU NA USHIRIKIANO - MHE CHANA