WAZIRI DKT. PINDI CHANA AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA SHERIA WA UINGEREZA
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. David Concar na Waziri wa Sheria wa Uingereza Mhe. Mike Freer kwa lengo la kuimarisha ushirikiano baina ya nchi hizo mbili. Tarehe 06 Machi, 2024 Zanzibar.
Comments
Post a Comment