BUNGE LAIDHINISHA BAJETI YA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiwasili Bungeni, mkononi ameshika mkoba uliobeba Bajeti ya Wizara kwa mwaka wa fedha 2024/25 Aprili 29, 2024. Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akisoma hotuba ya bajeti ya mwaka wa fedha 2024/25 Aprili 29, 2024 Bungeni Dodoma. Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Mary Makondo (kushoto) akiteta jambo na Mwandishi Mkuu wa Sheria Bw. Onorius Njole, wengine katika picha ni Dkt. Boniphace Luhende Wakili Mkuu wa Serikali na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Jaji Mtaafu Mhe. Mathew Mwaimu wakati wakisubiri kusomwa kwa bajeti ya Wizara kwa mwaka wa fedha 2024/25 Aprili 29, 2024. Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (katikati), Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini (kushoto) na Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Mary Makondo kwenye picha ya pamoja baada ya Bunge kupitisha bajeti ya Wizara ya mwaka wa fedha 2024/25, Aprili 29, 2024. Waziri wa Katiba...