VIONGOZI NA WATUMISHI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA WAWAPONGEZA WENZAO


 Mkurugenzi wa Utajiri na Maliasilia Wizara ya Katiba na Sheria DCP Neema Mwanga akimkabidhi zawadi Bw. Alex Togo wakati wa hafla ya kuwapongeza watumishi waliopata watoto kati ya Januari hadi Machi, 2024. Tarehe 17 Aprili, 2024 Mtumba.

Mkurugenzi wa Sera na Mipango Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Mbaraka Stambuli akimpongeza Bw. Judica Nkya wakati wa hafla ya kuwapongeza watumishi waliopata watoto kati ya Januari hadi Machi, 2024. Tarehe 17 Aprili, 2024 Mtumba.


Mkurugenzi wa Sera na Mipango Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Mbaraka Stambuli akimkabidhi zawadi Bw. Eric Sezary wakati wa hafla ya kuwapongeza watumishi waliopata watoto kati ya Januari hadi Machi, 2024. Tarehe 17 Aprili, 2024 Mtumba.

Baadhi ya Viongozi wa Wizara ya Katiba na Sheria kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Watumishi waliopewa zawadi kwa kupata watoto kati ya Januari hadi machi, 2024. Tarehe 17 Aprili, 2024 Mtumba.


Viongozi na Watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria kwenye hafla ya kuwapongeza watumishi wenzao waliopata watoto kati ya Januari hadi Machi, 2024. Tarehe 17 Aprili, 2024 Mtumba.

Bw. Judica Nkya mmoja wa watumishi waliopata watoto kati ya Januari hadi Machi, 2024 akitoa shukrani kwa Viongozi na Watumishi wakati wa hafla ya kuwapongeza watumishi hao. Tarehe 17 Aprili, 2024 Mtumba.



Comments

Popular posts from this blog

KAMATI YAIPONGEZA WIZARA KWA UTEKELEZAJI WA MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN

TUFANYE KAZI KWA UADILIFU NA USHIRIKIANO - MHE CHANA