WATUMISHI WA WIZARA WAMPONGEZA MTUMISHI MWENZAO KUFUNGA NDOA

 

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini (kulia) akikabidhi zawadi kwa maharusi Bw. Furaha Lilongele na Bi. Dinah Njovu kwenye sherehe ya harusi yao Aprili 20, 2024 Jijini Dodoma. Wengine katika picha ni watumishi wa Wizara waliofika kumpongeza mtumishi mwenzao Bi. Harusi Dinah.

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini akitoa salaam na nasaha kwa maharusi Bw. Furaha Lilongele na Bi. Dinah Njovu kwenye ya sherehe ya harusi yao Aprili 20, 2024 Jijini Dodoma. Wengine katika picha ni watumishi wa Wizara waliofika kumpongeza mtumishi mwenzao Bi. Harusi Dinah.


Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini (mwenye mic), Katibu Mkuu Bi. Mary Makondo, Viongozi wengine wa Wizara na Watumishi wakimpongeza mtumishi mwenzao Dinah Njovu wakati wa sherehe ya harusi yake na Bw. Furaha Lilongele, Aprili 20, 2024 Jijini Dodoma.


Ilikuwa ni shangwe na nderemo kwa Viongozi na Watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria kwenye sherehe ya kumpongeza mtumishi mwenzao Bi. Harusi Dinah Njovu. Mwenye mic ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini, kulia ni Katibu Mkuu Bi. Mary Makondo. Aprili 20, 2024 Jijini Dodoma.




Comments

Popular posts from this blog

KAMATI YAIPONGEZA WIZARA KWA UTEKELEZAJI WA MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN

TUFANYE KAZI KWA UADILIFU NA USHIRIKIANO - MHE CHANA