WAZIRI PINDI AKUTANA NA MENEJIMENTI YA WIZARA

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiongoza kikao cha Menejimenti ya Wizara kupitia Bajeti ya Wizara ya mwaka wa fedha 2024/25 Aprili 27, 2024. Hotuba hiyo itasomwa Bungeni Jumatatu tarehe 29 Aprili, 2024.

 Wajumbe wa Menejimenti ya Wizara ya Katiba na Sheria wakisikiliza wasilisho la  Makisio ya Mapato na Matumizi ya Wizara kwa Mwaka wa Fedha 2024/25 Aprili 27, 2024 ofisi za Wizara Mtumba. Hotuba hiyo itasomwa Bungeni Jumatatu tarehe 29 Aprili, 2024.

Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango Bw. Mbaraka Stambuli (kulia) wa Wizara ya Katiba na Sheria akitoa wasilisho la Makisio ya bajeti kwa mwaka wa fedha 2024/25 Aprili 27, 2024 ofisi za Wizara Mtumba. Bajeti hiyo itasomwa Bungeni tarehe 29 Aprili, 2024.

Comments

Popular posts from this blog

USAJILI WA VIZAZI NA VIFO NI TAKWA LA KISHERIA

UONGOZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU NA WATU YAKUTANA NA VIONGOZI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

BODI YA KITAIFA YA USHAURI YA MSAADA WA KISHERIA YATEMBELEA WASAIDIZI WA KISHERIA IRINGA