DKT. CHANA AFANYA KIKAO NA WAZIRI JERRY SLAA
Waziri wa Katiba na Sheria
Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiongea kwenye
kikao alichokutana na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry
Slaa na Wataalamu wa Wizara hizo mbili ambapo pamoja na mambo mengine wamejadili
kuhusu kufanya mashirikiano ya utatuzi wa kero na migogoro ya ardhi kupitia
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, Mei 06, 2024 Ofisi za Bunge
Dodoma.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiongoza kikao alichokutana na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Slaa na Wataalamu wa Wizara hizo mbili, Mei 06, 2024 Ofisi za Bunge Dodoma.
Sehemu ya Wataalamu walioshiriki
kikao cha Waziri wa Katiba na Sheria
Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana alipokutana na Waziri wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Slaa, Mei 06, 2024 Ofisi za Bunge Dodoma.
Comments
Post a Comment