IDARA YA UTAWALA NA RASILIMALIWATU YAMTEMBELEA NAIBU WAZIRI BUNGENI
Naibu Waziri wa Katiba na
Sheria Mhe. Jumanne Sagini akiongea na Viongozi na Watumishi wa Idara ya
Utawala na Rasilimaliwatu walipotembelea ofisi za Bunge Dodoma. Mei 07, 2024.
Mkurugenzi wa Utawala na
Rasilimaliwatu Bw. Michael Masanja akimkaribisha Naibu Waziri wa Katiba na
Sheria Mhe. Jumanne Sagini kuongea na Viongozi na Watumishi wa Idara ya Utawala
na Rasilimaliwatu, walipotembelea ofisi za Bunge Dodoma. Mei 07, 2024.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini akiongoza kikao alipokutana na Viongozi na Watumishi wa Idara ya Utawala na Rasilimaliwatu, ofisi za Bunge Dodoma. Mei 07, 2024.
Comments
Post a Comment