KIKUNDI CHA “WANAWAKE NA SAMIA” CHAMTEMBELEA PINDI CHANA BUNGENI
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana
amekutana na kikundi cha “Wanawake na Samia” kutoka Chamwino Mkoani Dodoma
waliomtembelea Bungeni kwa ajili ya kujifunza shughuli za Bunge, Mei 07, 2024.
Comments
Post a Comment