SAGINI AKUTANA NA IDARA YA UTAWALA NA RASILIMALIWATU
Naibu
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini akiongea alipokutana na kufanya mazungumzo
na Viongozi na Watumishi wa Idara ya Utawala na Rasilimaliwatu kwa lengo
kufahamiana na Watumishi, kujua majukumu yao, mafanikio na changamoto kwenye utekelezaji
wa kazi zao. Mei 06, 2024 Mtumba.
Mkurugenzi
wa Utawala na Rasilimaliwatu Bw. Michael Masanja (kulia) pamoja na viongozi
wengine wakimsikiliza Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini alipokutana
na kufanya mazungumzo na Viongozi na Watumishi wa Idara ya Utawala na
Rasilimaliwatu, Mei 06, 2024 Mtumba.
Baadhi ya watumishi wa Idara ya Utawala na Rasilimaliwatu wakimsikiliza
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini alipokutana na kufanya mazungumzo
na Viongozi na Watumishi wa Idara hiyo, Mei 06, 2024 Mtumba.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini amekutana
na kufanya mazungumzo na Viongozi na Watumishi wa Idara ya Utawala na
Rasilimaliwatu kwa lengo kufahamiana na Watumishi, kujua majukumu yao,
mafanikio na changamoto kwenye utekelezaji wa kazi zao. Tarehe 06 Mei, 2024
Mtumba.
Comments
Post a Comment