SAGINI AKUTANA NA MKURUGENZI WA BENKI YA DUNIA TANZANIA

 

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini akiongea kwenye kikao alichoongoza kati ya Wizara, Taasisi zake  na Benki ya Dunia kupitia na kujadili mapendekezo ya mageuzi kwenye sekta ya sheria. Mei 22, 2024 Dar es Salaam.


Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini (kulia) na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia Tanzania Nathan Belete kwenye kikao kati ya Wizara, Taasisi zake  na Benki ya Dunia kupitia na kujadili mapendekezo ya mageuzi kwenye sekta ya sheria. Mei 22, 2024 Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini akiongoza kikao kati ya Wizara, Taasisi zake  na Benki ya Dunia kupitia na kujadili mapendekezo ya mageuzi kwenye sekta ya sheria. Mei 22, 2024 Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia Tanzania Bw. Nathan Belete wakati wa kikao kati ya Wizara, Taasisi zake  na Benki ya Dunia kupitia na kujadili mapendekezo ya mageuzi kwenye sekta ya sheria. Mei 22, 2024 Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini, Mkurugenzi wa Benki ya Dunia Tanzania Bw. Nathan Belete kwenye picha ya pamoja na Viongozi wengine walioshiriki kikao kati ya Wizara, Taasisi zake  na Benki ya Dunia kupitia na kujadili mapendekezo ya mageuzi kwenye sekta ya sheria. Mei 22, 2024 Dar es Salaam.




Comments

Popular posts from this blog

USAJILI WA VIZAZI NA VIFO NI TAKWA LA KISHERIA

UONGOZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU NA WATU YAKUTANA NA VIONGOZI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

BODI YA KITAIFA YA USHAURI YA MSAADA WA KISHERIA YATEMBELEA WASAIDIZI WA KISHERIA IRINGA