SAGINI AKUTANA NA WATUMISHI WA IDARA YA HUDUMA ZA KISHERIA
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini
akizungumza na Watumishi wa Idara ya Huduma za Kisheria (hawapo pichani)
wakati alipokutana na Watumishi hao kujadili kuhusu utendaji kazi wa
idara hiyo. Kikao hicho kimefanyika Mei 14, 2024 katika ukumbi wa Wizara
Mtumba jijini Dodoma.
Watumishi wa Idara ya Huduma za Kisheria kwa
Umma wakimsikiliza Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne
Sagini wakati alipokutana nao katika kikao cha kujadili utendaji kazi wa idara
hiyo katika ukumbi wa Wizara Mtumba jijini Dodoma Mei 14, 2024.
Comments
Post a Comment