SAGINI AKUTANA NA WATUMISHI WA KITENGO CHA UHASIBU
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini akiongea
alipokutana na kufanya mazungumzo na Watumishi wa KItengo cha Uhasibu kwa lengo
la kufahamiana na Watumishi, kujua majukumu yao, mafanikio na changamoto kwenye
utekelezaji wa kazi zao. Mei 09, 2024 Mtumba.
Mhasibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria CPA Meshack Mwakyambiki (kushoto) akimsikiliza Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini alipofanya kikao na Watumishi wa Kitengo cha Uhasibu. Mei 09, 2024 Mtumba.
Comments
Post a Comment