WANAFUNZI WA CHUO CHA UALIMU DARMIKI WAFANYA ZIARA BUNGENI
Naibu Waziri wa Katiba na
Sheria Mhe. Jumanne Sagini kwenye picha ya pamoja na Wanafunzi wa Chuo cha
Ualimu Darmiki kilichopo Area A Jijini Dodoma walipotembelea Bunge kwa ziara ya
mafunzo wakiwa wageni wake, Mei 24, 2024 Bungeni Dodoma.
Sehemu ya Wanafunzi wa
Chuo cha Ualimu Darmiki kilichopo Area A Jijini Dodoma walipotembelea Bunge kwa
ziara ya mafunzo wakiwa wageni wa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne
Sagini, Mei 24, 2024 Bungeni Dodoma.
Wanafunzi wa Chuo cha
Ualimu Darmiki kilichopo Area A Jijini Dodoma pamoja na wageni wengine wakipatiwa
elimu kuhusu shughuli za Bunge walipotembelea Bunge kwa ziara ya mafunzo wakiwa
wageni wa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini, Mei 24, 2024
Bungeni Dodoma.
Comments
Post a Comment