WAZIRI PINDI CHANA AKUTANA NA KATIBU MTENDAJI CHRAGG
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiongea alipokutana na Katibu
Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw. Patience Ntwina kuhusu
utendaji kazi wa Tume hiyo hususan taarifa za mwaka za Tume hiyo, Mei 14, 2024
ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
Waziri wa Katiba na Sheria
Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiongoza kikao alipokutana na Katibu Mtendaji wa
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw. Patience Ntwina (kushoto) kuhusu
utendaji kazi wa Tume hiyo, Mei 14, 2024 ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Kulia ni
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini.
Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw. Patience Ntwina akitoa maelezo ya utendaji kazi wa Tume hiyo, Mei 14, 2024 ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
Waziri wa Katiba na Sheria
Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiongoza kikao alipokutana na Katibu Mtendaji wa
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw. Patience Ntwina kuhusu utendaji
kazi wa Tume hiyo, Mei 14, 2024 ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
Comments
Post a Comment