WIZARA YASHIRIKI MEI MOSI KITAIFA
Watumishi wa Wizara wakijiandaa kushiriki kwenye maandamano
wakati wa maadhimisho ya Mei Mosi Kitaifa Jijini Arusha, Mei 01, 2024
Watumishi wa Wizara wakishiriki kwenye maandamano wakati wa maadhimisho
ya Mei Mosi Kitaifa Jijini Arusha, Mei 01, 2024
Watumishi wa Wizara wakiwa uwanjani baada ya maandamano kuadhimisha
ya Mei Mosi Kitaifa Jijini Arusha, Mei 01, 2024
Watumishi wa Wizara wakiwa uwanjani baada ya maandamano kuadhimisha
ya Mei Mosi Kitaifa Jijini Arusha, Mei 01, 2024
Comments
Post a Comment