KIKAO KAZI KUANDAA ANDIKO LA KUANZISHA MFUKO WA KUWALINDA WATOA TAARIFA
Sehemu ya washiriki kwenye Kikao Kazi cha kuandaa tathmini ya mradi wa
BSAAT kwa kazi zilizofanywa mwaka wa fedha 2023/24 kwenye picha ya pamoja na baadhi
ya washiriki wa Kikao Kazi cha kuandaa
Andiko la Kuanzisha Mfuko wa Kuwalinda Watoa Taarifa za
Uhalifu na Mashahidi, Julai 02, 2024
mjini Morogoro.
Comments
Post a Comment