KIKAO KAZI KUANDAA TAARIFA YA TATHMINI YA MRADI WA BSAAT
Mkurugenzi Msaidizi Ufuatiliaji na Tathmini
Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Emmanuel Mayeji akifafanua jambo kwenye kazi
ya kuandaa taarifa ya tathmini ya mradi wa BSAAT kwa kazi zilizofanywa mwaka wa
fedha 2023/24, Juni 30, 2024 mjini
Morogoro.
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Katiba na Ufuatiliaji Haki kutoka Wizara ya
Katiba na Sheria Bi. Beatrice Mpembo akijadili jambo kwenye kazi ya kuandaa taarifa ya tathmini ya mradi wa
BSAAT kwa kazi zilizofanywa mwaka wa fedha 2023/24, Julai 01, 2024 mjini
Morogoro.
Comments
Post a Comment