MAADHIMISHO YA SIKU YA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA
Waziri wa Katiba na Sheria
Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (katikati) kwenye picha ya pamoja na baadhi ya
Maveterani waliopigana vita ya Uganda wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu
ya Mashujaa kwenye Viwanja vya Mashujaa eneo la Mji wa Serikali Mtumba Jijini
Dodoma. Mgeni Rasmi katika Maadhimisho hayo alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Julai 25, 2024.
Comments
Post a Comment