WATUMISHI WAPATA MFUNZO YA USIMAMIZI WA VIHATARISHI "RISK MANAGEMENT"
Baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria
wakiendelea na mafunzo ya Usimamizi wa Vihatarishi "Risk Management," Julai
18, 2024 Ofisi za Wizara Mtumba, Dodoma. Mafunzo hayo yanaendeshwa na Bi.
Adolphina Lugendo kutoka Wizara ya Fedha.
Comments
Post a Comment