DKT. CHANA AWASILISHA MUSWADA WA MAREKEBISHO YA SHERIA YA SHULE YA SHERIA KAMATI YA BUNGE

 

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiwasilisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Shule ya Sheria mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, katika ukumbi mdogo wa Bunge jijini Dodoma, Agosti 14, 2024.

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini akichangia hoja wakati wa kujadili Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Shule ya Sheria mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, katika ukumbi mdogo wa Bunge jijini Dodoma, Agosti 14, 2024.

Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Eliakim Maswi akichangia hoja wakati wa kujadili Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Shule ya Sheria mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, katika ukumbi mdogo wa Bunge jijini Dodoma, Agosti 14, 2024.

Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria wakati wa wasilisho la Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Shule ya Sheria, katika ukumbi mdogo wa Bunge jijini Dodoma, Agosti 14, 2024.

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiwasilisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Shule ya Sheria Sura ya 425 (THE LAW SCHOOL ACT CAP 425) mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, katika ukumbi mdogo wa Bunge jijini Dodoma, Agosti 14, 2024.

Muswada huo unapendekeza kufanya Marekebisho katika Sheria husika kwa lengo la kukabiliana na changamoto mbalimbali zilizobainika katika utekelezaji wa masharti ya Sheria.


Comments

Popular posts from this blog

USAJILI WA VIZAZI NA VIFO NI TAKWA LA KISHERIA

TUFANYE KAZI KWA UADILIFU NA USHIRIKIANO - MHE CHANA