KABUDI AFANYA KIKAO NA WAKURUGENZI NA MAOFISA

 

Waziri wa  Katiba na Sheria Mhe. Prof.Palamagamba Kabudi (Mb) Agosti 26, 2024 amekutana na kufanya kikao na baadhi ya Wakurugenzi na Maofisa  kutoka  Wizara ya Katiba na Sheria ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kikao cha kwanza cha Mkutano wa 16 wa  Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kinachotarajiwa kuanza Agosti 27, Bungeni jijini Dodoma.


Comments

Popular posts from this blog

USAJILI WA VIZAZI NA VIFO NI TAKWA LA KISHERIA

TUFANYE KAZI KWA UADILIFU NA USHIRIKIANO - MHE CHANA