MASWI AFANYA MAZUNGUMZO NA MSHAURI ELEKEZI WA BSAAT

 

Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Eliakim Maswi (wa tatu kulia) kwenye picha ya pamoja na wajumbe walioshiriki kikoa na Mshauri Elekezi wa Programu ya BSAAT, Agosti 13, 2024 Ofisi za Wizara Mtumba Dodoma.


xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Eliakim Maswi, 13 Agosti 2024, amekutana na kufanya mazungumzo na Mshauri Elekezi wa Programu ya Kujenga Uwezo wa Taasisi katika kupambana na rushwa (Building Sustainable Anti- Corruption Action in Tanzania - BSAAT).

Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika katika Ofisi za Wizara Mtumba jijini Dodoma, taarifa  ya utekelezaji wa programu hiyo iliwasilishwa na  kujadili maeneo ya mashirikiano kati yao na Wizara katika kutekeleza mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai.

Comments

Popular posts from this blog

USAJILI WA VIZAZI NA VIFO NI TAKWA LA KISHERIA

UONGOZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU NA WATU YAKUTANA NA VIONGOZI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

BODI YA KITAIFA YA USHAURI YA MSAADA WA KISHERIA YATEMBELEA WASAIDIZI WA KISHERIA IRINGA