KABUDI AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA MKUTANO WA AALCO THAILAND.

 



Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof. Palamagamba J. A. Kabudi aongoza ujumbe kutoka Tanzania nchini Thailand kushiriki Mkutano Mkuu wa 62 wa Shirika la Mashauriano ya Kisheria wa Kimataifa wa Nchi za Asia na Afrika (AALCO). Septemba 11, 2024 Thailand.


xxxxxxxxxxxxxxxxxxx

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof. Palamagamba J. A. Kabudi, Septemba 11, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Polcol Tawee Sodsong, Waziri wa Sheria wa Thailand ambapo pamoja na mambo mengine wamezungumzia maeneo ya ushirikiano hususan kuwa na programu za mafunzo na kubadilishana uzoefu katika masuala ya sheria za uwekezaji na sekta ya sheria kwa ujumla.

Waziri Kabudi anaongoza ujumbe kutoka Tanzania nchini Thailand unaoshiriki Mkutano Mkuu wa 62 wa Shirika la Mashauriano ya Kisheria wa Kimataifa wa Nchi za Asia na Afrika (AALCO).


Comments

Popular posts from this blog

USAJILI WA VIZAZI NA VIFO NI TAKWA LA KISHERIA

UONGOZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU NA WATU YAKUTANA NA VIONGOZI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

BODI YA KITAIFA YA USHAURI YA MSAADA WA KISHERIA YATEMBELEA WASAIDIZI WA KISHERIA IRINGA