MAZOEZI YA UTIMAMU WA MWILI KUELEKEA UZINDUZI WA MSLAC KATIKA MIKOA SITA.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Eliakim Maswi katikati
akiongoza mazoezi ya utimamu wa mwili kwa baadhi ya wajumbe wa Menejimenti na
Watumishi wa Wizara hiyo Januari 16, 2025 Mtumba Jijini Dodoma ikiwa ni
maandalizi ya kuelekea uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia
katika Mikoa Sita.
Baadhi ya Wajumbe wa Menejimenti na watumishi wa Wizara ya
Katiba na Sheria wakiendelea na mazoezi ya viungo Januari 16, 2025 Mtumba
Jijini Dodoma ikiwa ni maandalizi ya kuelekea uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa
Kisheria katia Mikoa sita.
Comments
Post a Comment