Posts

Showing posts from May, 2025

Serikali Yaongeza Kasi Utendaji wa Mahakama Kuondoa Mrundikano wa Mashauri

Image
  Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro akiwasilisha hotuba ya makadirio ya bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka 2025/26, tarehe 30 Aprili, 2025 bungeni Dodoma. Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro akijadiliana jambo na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini wakati wa uwasilishaji wa hotuba ya makadirio ya bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria bungeni Dodoma tarehe 30 Aprili, 2025. Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro akiteta jambo na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Joseph Mhagama mapema Aprili 30, 2025   kabla ya kuwasilishwa kwa hotuba ya makadirio ya bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka 2025/26. Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro akipongezwa na Mawaziri, Wabunge, Watendaji wa taasisi mbalimbali pamoja na familia yake mara baada ya kupitishwa bila kupingwa hotuba yake ya makadirio ya bajeti ya shilingi 687,698,489,000 kwa ajili ya...