Posts

Showing posts from February, 2022

JAMII YAASWA KUKABIDHI JUKUMU LA USIMAMIZI WA MIRATHI KWA RITA BADALA YA NDUGU WA MAREHEMU

Image
 Waziri wa Katiba na SheriaMhe. George Simbachawene (kulia) akipokea taarifa ya utekelezaji ya Bodi ya Ushauri ya RITA iliyomaliza muda wake kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi hiyo Prof. Hamis Dihenga. Anayeshuhudia katikati ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Geophrey Pinda. Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya RITA iliyomaliza muda wake Prof. Hamis Dihenga akitoa taarifa fupi ya utekelezaji wa bodi hiyo kwa miaka mitatu kuanzia 2019 hadi 2022 kwa Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. George Simbachawene  ( hayupo pichani) kabla ya kukabidhi kwake taarifa hiyo. Aliyekuwa mjumbe wa Bodi ya Ushauri ya RITA Bi. Nkasori Sarakikya akifafanua jambo kuhusu taarifa ya utekelezaji ya bodi hiyo. Baadhi ya wataalam waliohudhuria hafla hiyo ya kukabidhi taarifa ya utekelezaji. Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. George Simbachawene (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na waliokuwa wajumbe wa Bodi ya Ushauri ya RITA na viongozi wa Wizara. XXXXXXXXXXXXXXXXXXX Jamii imetakiwa  kutokuhangaika kutafuta watu ndan

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA KATIBA YARIDHISHWA NA UJENZI MAKAO MAKUU YA MAHAKAMA

Image
 Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. George Simbachawene akielezea jambo kwa Kamati ya kudumu ya Bunge ilipotembelea ujenzi wa Majengo ya Makao  Makuu ya Mahakama eneo la Tambukareli jijini Dodoma leo (14/2/22). Mtendaji Mkuu wa Mahakama Prof. Elisante Ole Gabriel akitoa maelezo ya ujenzi wa majengo ya Makao Makuu ya Mahakama kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ilipotembelea kujionea ujenzi huo unaoendelea eneo la Tambukareli jijini Dodoma. Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. George Simbachawene (kushoto) akibadilishana mawazo na Katibu Mkuu Bi. Mary Makondo (kulia) na Mtendaji Mkuu wa Mahakama Prof. Elisante Ole Gabriel wakati wakiwasubiri wageni wao ambao ni Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba walipotembelea ujenzi wa majengo ya Makao Makuu ya Mahakama jijini Dodoma. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba Dkt. Joseph Mhagama akitoa shukran na kueleza kuridhishwa kwao na namna ujenzi unavyoendelea. XXXXXXXXXXXXX Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria imeridhika na maendeleo ya mra

WAZIRI SIMBACHAWENE AONGOZA KIKAO CHA KUJADILI TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA WIZARA NA TAASISI KWA KIPINDI CHA JULAI HADI DISEMBA 2021

Image
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. George Simbachawene aongoza kikao cha Kujadili taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya Wizara na Taasisi zilizo chini yake kwa kipindi cha nusu mwaka (Julai hadi Disemba 2021)   Mtendaji Mkuu wa Mahakama Prof. Elisante Ole Gabriel akichangia jambo katika kikao hicho. Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. George Simbachawene akisisitiza jambo katika kikao cha Kujadili taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya Wizara na Taasisi zilizo chini yake kwa kipindi cha nusu mwaka (Julai hadi Disemba 2021)   Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Geophrey Pinda (katikati) akifafanua jambo katika kikao cha Kujadili taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya Wizara na Taasisi zilizo chini yake kwa kipindi cha nusu mwaka (Julai hadi Disemba 2021). Kulia ni Naibu Katibu Mkuu Dkt. Khatibu Kazungu.   Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. George Simbachawene aongoza kikao cha Kujadili taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya Wizara na Taasisi zilizo chini yake kwa kipindi cha nusu mwaka (Julai hadi Disemba

WAZIRI SIMBACHAWENE AKUTANA NA CHAMA CHA WANASHERIA TANGANYIKA

Image
  Menejimenti ya Wizara ya Katiba na Sheria  ikiongozwa na Waziri wa wizara hiyo Mhe. George Simbachawene wakutana na Chama cha Wanasheria Tanganyika walipofika katika ofisi za Wizara hiyo Mtumba jijini Dodoma kwa ajili ya mazungumzo.

WAZIRI SIMBACHAWENE ATEMBELEWA NA UJUMBE KUTOKA UN WOMEN

Image
Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Mary Makondo (aliyesimama) akizungumza na ujumbe wa UN Women uliofika ofisini kwa Waziri Simbachawene kwa mazungumzo.

UJUMBE WA GIZ WAMTEMBELEA WAZIRI SIMBACHAWENE

Image
 Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. George Simbachawene afanya  mazungumzo na ujumbe wa GIZ ofisini kwake Mtumba jijini Dodoma.

WAZIRI SIMBACHAWENE AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI

Image
waziri wa Katiba na Sheria Mhe. George Simbachawene akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. David Concar alipomtembelea ofisini kwake Mtumba jijini Dodoma na kujadiliana kuhusu ushirikiano wa nchi hizo mbili katika kuboresha uwezo wa mifumo ya sheria ya kupambana na uhalifu wa kimataifa na rushwa. Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. David Concar ( kushoto) akimsikiliza Waziri Simbachawene ( hayupo pichani) alipomtembelea ofisini kwake Mtumba jijini Dodoma.  Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. George Simbachawene(wa tatu kushoto) akiwa katika picha ya pamoja  na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. David Concar ( wa nne kulia) baada ya mazungumzo yao.