Posts

Showing posts from July, 2021

PROF. KABUDI AWATAKA WATUMISHI KATIBA NA SHERIA KUSHIRIKI UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA WIZARA NA KUTATHMINI UTEKELEZAJI WAKE

Image
  Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi akiwa na Katibu Mkuu Prof. Sifuni Mchome na Naibu Katibu Mkuu Bw. Amon Mpanju wamesimama maalum kwa ajili ya kuimba wimbo wa mshikamano daima kabla ya kuanza kwa kikao cha Baraza la Wafanyakazi kilichofanyika mkoani Morogoro tarehe 17 Julai,2021 Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome akizungumza wakati wa kumkaribisha Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi kufungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi la wizara hiyo kilichofanyika mkoani Morogoro tarehe 17 Julai, 2021    Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi akizungumza na Watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria wakati wa kufungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Wizara hiyo kilichofanyika mkoani Morogoro tarehe 17 Julai, 20221 Baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria walioshiriki kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Wizara hiyo wakifuatilia kikao hicho kilichofunguliwa na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof. Palamagamba Kabud