Posts

Showing posts from April, 2024

WAZIRI PINDI CHANA ASOMA BAJETI BUNGENI

Image
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiwasili Bungeni, mkononi ameshika mkoba uliobeba Bajeti ya Wizara kwa mwaka wa fedha 2024/25 Aprili 29, 2024. Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akisoma hotuba ya bajeti ya mwaka wa fedha 2024/25 Aprili 29, 2024 Bungeni Dodoma. Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Mary Makondo (kushoto) akiteta jambo na Mwandishi Mkuu wa Sheria Bw. Onorius Njole, wengine katika picha ni Dkt. Boniphace Luhende Wakili Mkuu wa Serikali na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Jaji Mtaafu Mhe. Mathew Mwaimu wakati wakisubiri kusomwa kwa bajeti ya Wizara kwa mwaka wa fedha 2024/25 Aprili 29, 2024.  

WAZIRI PINDI AKUTANA NA WAKUU WA TAASISI ZA WIZARA

Image
  Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiongoza kikao na Viongozi wa Taasisi zilizo chini ya Wizara kupitia maeneo ambayo yanahitaji ufafanuzi kwenye bajeti ya Wizara ya mwaka wa fedha 2024/25. Kikao hicho kimefanyika tarehe 28 Aprili, 2024 ofisi za Wizara Mtumba. Bajeti ya Wizara itasomwa Bungeni tarehe 29 Aprili, 2024. Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiongoza kikao na Viongozi wa Taasisi zilizo chini ya Wizara kupitia maeneo ambayo yanahitaji ufafanuzi kwenye bajeti ya Wizara ya mwaka wa fedha 2024/25. Kushoto kwake ni Bw. Frank Kanyusi Kabidhi Wasii Mkuu na Mtendaji Mkuu wa RITA. Aprili 28, 2024 ofisi za Wizara Mtumba. Katibu Mtendaji Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw. Patience Ntwina (kushoto), Mkuu wa Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo – Law School of Tanzania Prof. Sist Mramba (kulia) wakati wa kikao cha kupitia maeneo ambayo yanahitaji ufafanuzi kwenye bajeti ya Wizara ya mwaka wa fedha 2024/25. Aprili 28, 2024 ofi

WAZIRI PINDI AKUTANA NA MENEJIMENTI YA WIZARA

Image
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiongoza kikao cha Menejimenti ya Wizara kupitia Bajeti ya Wizara ya mwaka wa fedha 2024/25 Aprili 27, 2024. Hotuba hiyo itasomwa Bungeni Jumatatu tarehe 29 Aprili, 2024.   Wajumbe wa Menejimenti ya Wizara ya Katiba na Sheria wakisikiliza wasilisho la   Makisio ya Mapato na Matumizi ya Wizara kwa Mwaka wa Fedha 2024/25 Aprili 27, 2024 ofisi za Wizara Mtumba. Hotuba hiyo itasomwa Bungeni Jumatatu tarehe 29 Aprili, 2024. Wajumbe wa Menejimenti ya Wizara ya Katiba na Sheria wakisikiliza wasilisho la  Makisio ya Mapato na Matumizi ya Wizara kwa Mwaka wa Fedha 2024/25 Aprili 27, 2024 ofisi za Wizara Mtumba. Hotuba hiyo itasomwa Bungeni Jumatatu tarehe 29 Aprili, 2024. Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango Bw. Mbaraka Stambuli (kulia) wa Wizara ya Katiba na Sheria akitoa wasilisho la Makisio ya bajeti kwa mwaka wa fedha 2024/25 Aprili 27, 2024 ofisi za Wizara Mtumba. Bajeti hiyo itasomwa Bungeni tarehe 29 Aprili, 2024.

RANDAMA YA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA KWA MWAKA WA FEDHA 2024/25 YAWASILISHWA BUNGENI

Image
 Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini akiwasilisha Randama ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Katiba na Sheria na Taasisi zake kwa mwaka wa fedha 2024/25 Bungeni, Aprili 25, 2024 Bungeni Dodoma.

TANZANIA NA UNDP ZAKUBALIANA KUIMARISHA SEKTA YA SHERIA

Image
  Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiongea na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini Bw. Shigeki Komatsubara Aprili 23, 2024 Ofisi za Wizara Mtumba. Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiongoza kikao na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini Bw. Shigeki Komatsubara Aprili 23, 2024 Ofisi za Wizara Mtumba. Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (katikati), kulia kwake ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini, kushoto kwake ni Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini Bw. Shigeki Komatsubara, Naibu Katibu Mkuu Dkt. Khatibu Kazungu (kulia) kwenye picha ya pamoja na viongozi wengine walioshiriki kikao hicho, Aprili 23, 2024 Ofisi za Wizara Mtumba. XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX Na William Mabusi – WKS Dodoma Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amekutana na kuf

WAZIRI PINDI CHANA AKUTANA NA MENEJIMENTI YA RITA

Image
Kabidhi Wasii Mkuu na Afisa Mtendaji Mkuu wa RITA Ndg. Frank Kanyusi Frank akitoa neno la utangulizi kwa Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini kabla ya kumkaribisha Kaimu Meneja wa Mipango Ufuatiliaji na Tathmini Bw. Ernest Mbuna kuwasilisha Taarifa ya majukumu ya RITA, Aprili 23, 2024 ofisi za Wizara Mtumba. Kaimu Meneja wa Mipango Ufuatiliaji na Tathmini Bw. Ernest Mbuna kutoka RITA akiwasilisha Taarifa ya majukumu ya RITA kwa Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini, Aprili 23, 2024 ofisi za Wizara Mtumba. Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiongoza kikao ambapo yeye na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini walikutana na Menejimenti ya RITA, Aprili 23, 2024 ofisi za Wizara Mtumba.  

WAZIRI PINDI AKUTANA NA BALOZI WA SINGAPORE

Image
  Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana wakati anaongea na Balozi wa Singapore nchini Mhe. Douglas Foo , Aprili 22, 2024 Bungeni Dodoma. Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiwa na Mgeni wake Balozi wa Singapore nchini Mhe. Douglas Foo baada ya kufanya mazungumzo, Aprili 22, 2024 Bungeni Dodoma. Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akimkabidhi zawadi Mgeni wake Balozi wa Singapore nchini Mhe. Douglas Foo baada ya kufanya mazungumzo, Aprili 22, 2024 Bungeni Dodoma. Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akipokea zawadi kutoka kwa Mgeni wake Balozi wa Singapore nchini Mhe. Douglas Foo baada ya kufanya mazungumzo, Aprili 22, 2024 Bungeni Dodoma. Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana, Balozi wa Singapore nchini Mhe. Douglas Foo , kwenye picha ya pamoja na watumishi wengine walioshiriki kikao hicho Aprili 22, 2024 Bungeni Dodoma. xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx Na William Mabusi – WKS Dodoma Waziri wa K

WATUMISHI WA WIZARA WAMPONGEZA MTUMISHI MWENZAO KUFUNGA NDOA

Image
  Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini (kulia) akikabidhi zawadi kwa maharusi Bw. Furaha Lilongele na Bi. Dinah Njovu kwenye sherehe ya harusi yao Aprili 20, 2024 Jijini Dodoma. Wengine katika picha ni watumishi wa Wizara waliofika kumpongeza mtumishi mwenzao Bi. Harusi Dinah. Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini akitoa salaam na nasaha kwa maharusi Bw. Furaha Lilongele na Bi. Dinah Njovu kwenye ya sherehe ya harusi yao Aprili 20, 2024 Jijini Dodoma. Wengine katika picha ni watumishi wa Wizara waliofika kumpongeza mtumishi mwenzao Bi. Harusi Dinah. Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini (mwenye mic), Katibu Mkuu Bi. Mary Makondo, Viongozi wengine wa Wizara na Watumishi wakimpongeza mtumishi mwenzao Dinah Njovu wakati wa sherehe ya harusi yake na Bw. Furaha Lilongele, Aprili 20, 2024 Jijini Dodoma. Ilikuwa ni shangwe na nderemo kwa Viongozi na Watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria kwenye sherehe ya kumpongeza mtumishi mwenzao Bi. Harusi Di

MASHAURI 705 YAOKOA TRILIONI 3.4 FEDHA ZA SERIKALI

Image
  Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini akihutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano wa pili wa Baraza la Pili la Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Aprili 19, 2024 Mkoani Morogoro. Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Boniphace Luhende na Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi  akisoma hotuba wakati wa ufunguzi wa mkutano wa pili wa Baraza la pili la Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Aprili 19, 2024 Mkoani Morogoro. Kaimu Naibu Wakili  Mkuu wa Serikali Ndg. Mark  Mulwambo akizungumza wakati wa ufunguzi wa Baraza la Wafanyakazi, Aprili 19, 2024 Mkoani Morogoro. Naibu Waziri wa  Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini (katikati) akiongoza zoezi la kuimba wimbo wa mshikamano ikiwa ni ishara rasmi ya kuanza kwa mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali. Pamoja naye ni Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Boniphace Luhende (wa kwanza kulia kwake), Kaimu Naibu Wakili Mkuu wa Serikali  Ndg. Mark  Mulwambo (wa pili kulia)  pamoja na viongozi wengin

VIONGOZI NA WATUMISHI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA WAWAPONGEZA WENZAO

Image
  Mkurugenzi wa Utajiri na Maliasilia Wizara ya Katiba na Sheria DCP Neema Mwanga akimkabidhi zawadi Bw. Alex Togo wakati wa hafla ya kuwapongeza watumishi waliopata watoto kati ya Januari hadi Machi, 2024. Tarehe 17 Aprili, 2024 Mtumba. Mkurugenzi wa Sera na Mipango Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Mbaraka Stambuli akimpongeza Bw. Judica Nkya wakati wa hafla ya kuwapongeza watumishi waliopata watoto kati ya Januari hadi Machi, 2024. Tarehe 17 Aprili, 2024 Mtumba. Mkurugenzi wa Sera na Mipango Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Mbaraka Stambuli akimkabidhi zawadi Bw. Eric Sezary wakati wa hafla ya kuwapongeza watumishi waliopata watoto kati ya Januari hadi Machi, 2024. Tarehe 17 Aprili, 2024 Mtumba. Baadhi ya Viongozi wa Wizara ya Katiba na Sheria kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Watumishi waliopewa zawadi kwa kupata watoto kati ya Januari hadi machi, 2024. Tarehe 17 Aprili, 2024 Mtumba. Viongozi na Watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria kwenye hafla ya kuwapongeza watumishi wenzao wa

UJENZI WA MAHAKAMA ZA WILAYA NA ZA MWANZO UNAENDELEA – SAGINI

Image
  Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini akijibu maswali Bungeni Dodoma tarehe 16 Aprili, 2024. xxxxxxxxxxxxxxxxxxxx Na William Mabusi – WKS Dodoma Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini amesema Serikali inaendelea kutekeleza Mpango wa ujenzi na ukarabati wa majengo ya Mahakama kwa awamu kote nchini. Mhe. Sagini ameyasema hayo wakati akijibu swali kutoka kwa Mbunge wa Kalambo Mhe. Josephat Sinkamba Kandege Bungeni tarehe 16 Aprili, 2024 Jijini Dodoma. Katika swali lake la msingi lililoulizwa na Mhe. Rashid Shangazi kwa niaba yake, Mhe. Kandege alitaka kujua Serikali ina mpango gani wa kujenga na kukarabati Mahakama za Mwanzo Wilayani Kalambo. Katika kuweka msukumo wa ujenzi wa majengo ya Mahakama kote nchini Mhe. Sagini amesema ”Serikali ina Mpango wa ukarabati na ujenzi wa Mahakama kwa awamu. Kupitia Mpango huo katika mwaka wa fedha 2019/20 imeshajengwa Mahakama ya Mwanzo ya Msanzi katika jimbo la Kalambo. Pia katika mwaka wa fedha 2023/24 Mahakama

SAGINI AFURAHISHWA NA MAPOKEZI MoCLA

Image
  Naibu Waziri mpya wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini akihutubia Watumishi wa Wizara hiyo alipopokelewa kwa mara ya kwanza Wizarani hapo, tarehe 08 Aprili, 2024 Ofisi za Wizara Mtumba Dodoma. Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akimkaribisha Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini kuongea na Watumishi wa Wizara, tarehe 08 Aprili, 2024. Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini akisalimiana na Watumishi wa Wizara baada ya kupokelewa Wizarani hapo, tarehe 08 Aprili, 2024. Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akimkabidhi Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini ua alipopokelewa Wizarani hapo, tarehe 08 Aprili, 2024. Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini akisalimiana na Watumishi wa Wizara baada ya kupokelewa Wizarani hapo, tarehe 08 Aprili, 2024. Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akimkabidhi Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini vitendea kazi baada ya kupoke

UKATILI WOWOTE WANAOFANYIWA WATOTO UTOLEWE TAARIFA – DKT. CHANA

Image
  Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akihutubia Kikao cha Tatu cha Jukwaa la Haki Mtoto, 05 Aprili, 2024 Jijini Arusha. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Dkt. Khatibu Kazungu akitoa salaam na kumkaribisha Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana kuhutubia Kikao cha Tatu cha Jukwaa la Haki Mtoto, 05 Aprili, 2024 Jijini Arusha. Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Msaada wa Kisheria Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Ester Msambazi akitoa wasilisho kwenye Kikao cha Tatu cha Jukwaa la Haki Mtoto, 05 Aprili, 2024 Jijini Arusha. Sehemu ya Washiriki kwenye Kikao cha Tatu cha Jukwaa la Haki Mtoto, wakisikiliza hotuba ya Mgeni Rasmi Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana. 05 Aprili, 2024 Jijini Arusha. Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana kwenye picha ya pamoja na washirki wa Kikao cha Tatu cha Jukwaa la Haki Mtoto, kulia kwake ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Khatibu Kazungu. 05 Aprili, 2024 Jijini Aru