
Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi aongoza kikao kazi cha kikao kazi cha kutathmini zoezi la kutafsiri sheria mbalimbali katika lugha ya Kiswahili mapema leo tarehe 27 Mei, 2021 mjini Dodoma. Kikao kazi hiki kimehudhuriwa na Wakurugenzi wa Idara na Vitengo vya Sheria vya Wizara zote za Serikali.