Posts

WAZIRI PINDI AKUTANA NA WAKUU WA TAASISI ZA WIZARA

Image
  Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiongoza kikao na Viongozi wa Taasisi zilizo chini ya Wizara kupitia maeneo ambayo yanahitaji ufafanuzi kwenye bajeti ya Wizara ya mwaka wa fedha 2024/25. Kikao hicho kimefanyika tarehe 28 Aprili, 2024 ofisi za Wizara Mtumba. Bajeti ya Wizara itasomwa Bungeni tarehe 29 Aprili, 2024. Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiongoza kikao na Viongozi wa Taasisi zilizo chini ya Wizara kupitia maeneo ambayo yanahitaji ufafanuzi kwenye bajeti ya Wizara ya mwaka wa fedha 2024/25. Kushoto kwake ni Bw. Frank Kanyusi Kabidhi Wasii Mkuu na Mtendaji Mkuu wa RITA. Aprili 28, 2024 ofisi za Wizara Mtumba. Katibu Mtendaji Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw. Patience Ntwina (kushoto), Mkuu wa Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo – Law School of Tanzania Prof. Sist Mramba (kulia) wakati wa kikao cha kupitia maeneo ambayo yanahitaji ufafanuzi kwenye bajeti ya Wizara ya mwaka wa fedha 2024/25. Aprili 28, 2024 ofi

WAZIRI PINDI AKUTANA NA MENEJIMENTI YA WIZARA

Image
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiongoza kikao cha Menejimenti ya Wizara kupitia Bajeti ya Wizara ya mwaka wa fedha 2024/25 Aprili 27, 2024. Hotuba hiyo itasomwa Bungeni Jumatatu tarehe 29 Aprili, 2024.   Wajumbe wa Menejimenti ya Wizara ya Katiba na Sheria wakisikiliza wasilisho la   Makisio ya Mapato na Matumizi ya Wizara kwa Mwaka wa Fedha 2024/25 Aprili 27, 2024 ofisi za Wizara Mtumba. Hotuba hiyo itasomwa Bungeni Jumatatu tarehe 29 Aprili, 2024. Wajumbe wa Menejimenti ya Wizara ya Katiba na Sheria wakisikiliza wasilisho la  Makisio ya Mapato na Matumizi ya Wizara kwa Mwaka wa Fedha 2024/25 Aprili 27, 2024 ofisi za Wizara Mtumba. Hotuba hiyo itasomwa Bungeni Jumatatu tarehe 29 Aprili, 2024. Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango Bw. Mbaraka Stambuli (kulia) wa Wizara ya Katiba na Sheria akitoa wasilisho la Makisio ya bajeti kwa mwaka wa fedha 2024/25 Aprili 27, 2024 ofisi za Wizara Mtumba. Bajeti hiyo itasomwa Bungeni tarehe 29 Aprili, 2024.

RANDAMA YA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA KWA MWAKA WA FEDHA 2024/25 YAWASILISHWA BUNGENI

Image
 Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini akiwasilisha Randama ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Katiba na Sheria na Taasisi zake kwa mwaka wa fedha 2024/25 Bungeni, Aprili 25, 2024 Bungeni Dodoma.

TANZANIA NA UNDP ZAKUBALIANA KUIMARISHA SEKTA YA SHERIA

Image
  Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiongea na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini Bw. Shigeki Komatsubara Aprili 23, 2024 Ofisi za Wizara Mtumba. Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiongoza kikao na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini Bw. Shigeki Komatsubara Aprili 23, 2024 Ofisi za Wizara Mtumba. Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (katikati), kulia kwake ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini, kushoto kwake ni Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini Bw. Shigeki Komatsubara, Naibu Katibu Mkuu Dkt. Khatibu Kazungu (kulia) kwenye picha ya pamoja na viongozi wengine walioshiriki kikao hicho, Aprili 23, 2024 Ofisi za Wizara Mtumba. XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX Na William Mabusi – WKS Dodoma Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amekutana na kuf

WAZIRI PINDI CHANA AKUTANA NA MENEJIMENTI YA RITA

Image
Kabidhi Wasii Mkuu na Afisa Mtendaji Mkuu wa RITA Ndg. Frank Kanyusi Frank akitoa neno la utangulizi kwa Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini kabla ya kumkaribisha Kaimu Meneja wa Mipango Ufuatiliaji na Tathmini Bw. Ernest Mbuna kuwasilisha Taarifa ya majukumu ya RITA, Aprili 23, 2024 ofisi za Wizara Mtumba. Kaimu Meneja wa Mipango Ufuatiliaji na Tathmini Bw. Ernest Mbuna kutoka RITA akiwasilisha Taarifa ya majukumu ya RITA kwa Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini, Aprili 23, 2024 ofisi za Wizara Mtumba. Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiongoza kikao ambapo yeye na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini walikutana na Menejimenti ya RITA, Aprili 23, 2024 ofisi za Wizara Mtumba.  

WAZIRI PINDA AKUTANA NA BALOZI WA SINGAPORE

Image
  Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana wakati anaongea na Balozi wa Singapore nchini Mhe. Douglas Foo , Aprili 22, 2024 Bungeni Dodoma. Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiwa na Mgeni wake Balozi wa Singapore nchini Mhe. Douglas Foo baada ya kufanya mazungumzo, Aprili 22, 2024 Bungeni Dodoma. Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akimkabidhi zawadi Mgeni wake Balozi wa Singapore nchini Mhe. Douglas Foo baada ya kufanya mazungumzo, Aprili 22, 2024 Bungeni Dodoma. Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akipokea zawadi kutoka kwa Mgeni wake Balozi wa Singapore nchini Mhe. Douglas Foo baada ya kufanya mazungumzo, Aprili 22, 2024 Bungeni Dodoma. Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana, Balozi wa Singapore nchini Mhe. Douglas Foo , kwenye picha ya pamoja na watumishi wengine walioshiriki kikao hicho Aprili 22, 2024 Bungeni Dodoma. xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx Na William Mabusi – WKS Dodoma Waziri wa K

WATUMISHI WA WIZARA WAMPONGEZA MTUMISHI MWENZAO KUFUNGA NDOA

Image
  Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini (kulia) akikabidhi zawadi kwa maharusi Bw. Furaha Lilongele na Bi. Dinah Njovu kwenye sherehe ya harusi yao Aprili 20, 2024 Jijini Dodoma. Wengine katika picha ni watumishi wa Wizara waliofika kumpongeza mtumishi mwenzao Bi. Harusi Dinah. Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini akitoa salaam na nasaha kwa maharusi Bw. Furaha Lilongele na Bi. Dinah Njovu kwenye ya sherehe ya harusi yao Aprili 20, 2024 Jijini Dodoma. Wengine katika picha ni watumishi wa Wizara waliofika kumpongeza mtumishi mwenzao Bi. Harusi Dinah. Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini (mwenye mic), Katibu Mkuu Bi. Mary Makondo, Viongozi wengine wa Wizara na Watumishi wakimpongeza mtumishi mwenzao Dinah Njovu wakati wa sherehe ya harusi yake na Bw. Furaha Lilongele, Aprili 20, 2024 Jijini Dodoma. Ilikuwa ni shangwe na nderemo kwa Viongozi na Watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria kwenye sherehe ya kumpongeza mtumishi mwenzao Bi. Harusi Di