BALOZI DKT. CHANA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UINGEREZA
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiongea kwenye kikao na Balozi wa Uingereza, tarehe 31 Januari, 2024 Ofisi za Bunge, Dodoma. Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiongea kwenye kikao na Balozi wa Uingereza, tarehe 31 Januari, 2024 Ofisi za Bunge, Dodoma. Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Mhe. Balozi David Concar akiongea kwenye kikao na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi, tarehe 31 Januari, 2024 Ofisi za Bunge, Dodoma. Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana na Balozi wa Uingereza nchini Mhe. David Concar, tarehe 31 Januari, 2024 Ofisi za Bunge, Dodoma. Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana na Balozi wa Uingereza nchini Mhe. David Concar, kwenye picha ya pamoja na walishiriki katika kikao hicho, tarehe 31 Januari, 2024 Ofisi za Bunge, Dodoma. xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx Na William Mabusi – WKS Dodoma Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amekutana na ku...